Pakua application ya RUDEBOY official kwa kubofya hapa
Karim Benzema aungana na wachezaji hawa kwenye rekodi hi ya michuano ya Ulaya
Benzema amekuwa mchezaji wa sita kufikisha magoli 50 kwenye michuano ya UEFA Champions League akiwa sawa kwa magoli na nyota wa zamani wa Arsenal Thiery Henry katika orodha ya wafumania nyavu wa muda wote.
0 comments:
Post a Comment