Wakati wa Tanzania tukiwa tunaadhimisha miaka 55 ya Uhuru, ambapo maonyesho ya shughuli hayo yakiwa yamefanyika uwanja wa Uhuru, Timu ya Arsenal imekuwa timu ya kwanza inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza EPL kuitakia heri Tanzania kwenye maadhimisho yake.
Arsenal waliandika Ujumbe wao kwa Tanzania kupitia mtandao wao wa Facebook kama inavyoonekana hapo chini.

0 comments:

Post a Comment